THE INSTITUTE OF FINANCE
MANAGEMENT
IFM ALUMNI COMMUNITY
MATOKEO YA CPA 2024! CHUO CHA USIMAMIZI WA FEDHA (IFM) KIMEANDIKA HISTORIA YA MAFANIKIO KWA MARA NYINGINE TENA !
Chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM) kimeshika nafasi ya pili (2) tena kati ya vyuo vyote kitaifa katika matokeo ya CPA ya 2024.
Pia, Chuo kimepewa vyeti vya kufanya vizuri katika matokeo ya Novemba 2023 na Mei 2024 katika hafla iliyoandaliwa na tassisi ya NBAA tarehe 28 Septemba 2024.
Menejimenti ya Chuo na Baraza la Uongozi wanawapongeza wafanyakazi na wahitimu wa "programs" za Bachelor of Accounting (BAC) na Bachelor of Account with Information Technology (BAIT) kwa mafanikio haya
JIFUNZE UHUDUMIE
# IFM Tupo Juu!
#Kila utakapokwenda IFM ni ile ile!
#Dar es salaam# Mwanza# Simiyu# Dodoma#Geita
#Kazi iendelee!
RELATED NEWS
Zaidi ya wanafunzi 200 wa Chuo cha Usimamizi wa Fedha wameipongeza na kuishukuru...
Zaidi ya wanafunzi 200 wa Chuo cha Usimamizi wa Fedha wameipongeza na kuishukuru...
A CALL FOR A PRACTICAL WORKSHOP ON CYBER THREATS MITIGATION AND RISK MANAGEMENT...
.
.
.
P.O Box 3918, 5 Shaaban Robert Street
11101 Dar es salaam
+255 22 2112931-4
Fax : +255 22 2112935
alumni@ifm.ac.tz | +255222112931-4