THE INSTITUTE OF FINANCE
MANAGEMENT
IFM ALUMNI COMMUNITY
KAMPASI YA IFM MWANZA YAIBUKA KUWA MSHINDI KWA MARA NYINGINE
USHINDI NDIO JADI YETU!
IFM KAMPASI YA MWANZA HOYEEE!
KAMPASI YA IFM MWANZA YAIBUKA KUWA MSHINDI KWA MARA NYINGINE, AMBAPO SAFARI HII IMESHIKA NAFASI YA PILI (2) KWENYE MAONESHO YA NANE NANE 2024 KATIKA MKOA WA MWANZA, KWENYE KUNDI LA TAASISI ZA ELIMU YA JUU, KANDA YA ZIWA MAGHARIBI.
OMBA KOZI YA CHAGUO LAKO SASA KWENYE KAMPASI YETU YA MWANZA KUPITIA : https://ems.ifm.ac.tz/application
POPOTE UTAKAPOENDA, IFM NI ILE ILE!
#WeAreOnTop
RELATED NEWS
Zaidi ya wanafunzi 200 wa Chuo cha Usimamizi wa Fedha wameipongeza na kuishukuru...
Zaidi ya wanafunzi 200 wa Chuo cha Usimamizi wa Fedha wameipongeza na kuishukuru...
A CALL FOR A PRACTICAL WORKSHOP ON CYBER THREATS MITIGATION AND RISK MANAGEMENT...
.
.
.
P.O Box 3918, 5 Shaaban Robert Street
11101 Dar es salaam
+255 22 2112931-4
Fax : +255 22 2112935
alumni@ifm.ac.tz | +255222112931-4